Huduma nne tunazotoa
Imarisha Maisha Financial Services Ltd hutoa mikopo binafsi, mkopo wa matengenezo ya gari, mkopo wa manunuzi ya gari na huduma za bima.
Chagua huduma unayohitaji
-
Mikopo Binafsi
Mikopo binafsi hutolewa kwa dhamana ya chombo cha moto kama gari, pikipiki au bajaji.
Soma zaidi kuhusu Mikopo Binafsi -
Mkopo wa Matengenezo ya Gari
Twenzetu Gereji
Mkopo wa kusaidia kugharamia matengenezo ya gari lako ili uweze kurejea kwenye shughuli zako kwa urahisi.
Soma zaidi kuhusu Mkopo wa Matengenezo ya Gari -
Mkopo wa Manunuzi ya Gari
Mkopo kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya gari kulingana na huduma na masharti yanayotolewa na IMFSL.
Soma zaidi kuhusu Mkopo wa Manunuzi ya Gari -
Huduma za Bima
Tunatoa huduma mbalimbali za bima kwa ajili ya kulinda mali na mahitaji yako ya bima.
Soma zaidi kuhusu Huduma za Bima
Mikopo Binafsi
Mikopo binafsi hutolewa kwa dhamana ya chombo cha moto kama gari, pikipiki au bajaji.
Tunatoa mikopo kuanzia TZS 100,000 mpaka TZS 100,000,000 kwa mkopo binafsi ndani ya dakika 15 tu.
Mkopo wa Matengenezo ya Gari
Twenzetu Gereji
Mkopo wa kusaidia kugharamia matengenezo ya gari lako ili uweze kurejea kwenye shughuli zako kwa urahisi.
Mkopo wa Manunuzi ya Gari
Mkopo kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya gari kulingana na huduma na masharti yanayotolewa na IMFSL.
Huduma za Bima
Tunatoa huduma mbalimbali za bima kwa ajili ya kulinda mali na mahitaji yako ya bima.
Aina za bima tunazotoa
- Bima ya vyombo vya moto, magari binafsi na biashara
- Bima dhidi ya moto na athari zitokanazo na moto
- Bima ya wizi wa fedha
- Bima ya biashara
- Bima ya nyumba na makazi
- Bima ya ujenzi, majengo na barabara
Una swali? Tuna majibu
Huduma zote hutolewa ofisini kwetu
Tembelea ofisi yetu iliyo karibu nawe, tupigie simu au tuandikie WhatsApp kwa ushauri wa bure.