Matukio Mbalimbali

Picha za matukio yetu mbalimbali

Tazama kumbukumbu za matukio tofauti ya Imarisha Maisha, kuanzia ziara, maadhimisho ya kitaifa hadi shughuli za kuwaenzi wateja wetu.

Magoroto Tour

Ziara ya Magoroto

Matukio ya timu yetu katika ziara ya Magoroto.

Women Day

Siku ya Wanawake

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani pamoja na timu yetu.

Customer Care Week

Wiki ya Huduma kwa Wateja

Matukio ya Wiki ya Huduma kwa Wateja tukiwaenzi wateja wetu.

Tuko Pamoja Nawe

Karibu uwe sehemu ya safari yetu

Kwa mahitaji ya mkopo binafsi, mkopo wa gari au huduma za bima, wasiliana nasi au tembelea ofisi yetu.

WhatsApp