Mikopo Binafsi

Mkopo binafsi ndani ya dakika 15 tu

Tunatoa mikopo kuanzia TZS 100,000 mpaka TZS 100,000,000 kwa mkopo binafsi. Mikopo binafsi hutolewa kwa dhamana ya chombo cha moto kama gari, pikipiki au bajaji.

TZS 100,000 hadi TZS 100,000,000

Kiasi cha mkopo binafsi

Dakika 15 tu

Muda wa kupata mkopo ukiwa ofisini

Gari, pikipiki au bajaji

Dhamana ya chombo cha moto

Mteja wa Imarisha Maisha akiwa na funguo za gari lake
Mkopo Binafsi ni Nini?

Mkopo kwa dhamana ya chombo chako cha moto

Mikopo binafsi hutolewa kwa dhamana ya chombo cha moto kama gari, pikipiki au bajaji. Unaendelea kutumia chombo chako wakati wote wa marejesho.

  • Kiasi: TZS 100,000 mpaka TZS 100,000,000
  • Muda wa kupata mkopo: dakika 15 tu ukiwa ofisini
  • Dhamana: gari, pikipiki au bajaji
  • Fedha huingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yako
Marejesho

Marejesho ya mkopo

Mkopo wetu ni wa kuanzia mwezi mmoja, miwili hadi miezi mitatu. Mteja hurejesha kulingana na mkopo aliouchagua.

  • Mkopo wa mwezi mmoja: hurejeshwa ndani ya mwezi mmoja
  • Mkopo wa miezi miwili: hurejeshwa kila mwezi kwa miezi miwili
  • Mkopo wa miezi mitatu: hurejeshwa kila mwezi kwa miezi mitatu

Masharti kamili ya mkopo wako hueleweshwa ofisini kabla ya kusaini mkataba. Tembelea ofisi yetu iliyo karibu nawe au wasiliana nasi kwa ushauri wa bure.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Pata mkopo kwa hatua nne rahisi

01

Tembelea Ofisi

Fika tawi letu lolote lililo karibu nawe.

02

Jaza Fomu

Jaza fomu ya maombi pamoja na dhamana ya chombo chako cha moto.

03

Idhinishwa Haraka

Maombi yako huchakatwa na kuidhinishwa ndani ya dakika 15.

04

Pokea Fedha

Kiasi ulichoomba huingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yako.

Kwa Nini Sisi?

Faida za kukopa nasi

Haraka

Mkopo binafsi hutolewa ndani ya dakika 15 tu.

Uwazi

Masharti yote hueleweshwa kabla ya kusaini.

Mteja Mfalme

Tunaweka mteja mbele kwa kila hatua.

Uaminifu

Tumeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Hatutozi gharama yoyote ya awali kabla ya mteja kufika ofisini. Tafadhali epuka matapeli.

Karibu Ofisini

Tembelea ofisi yetu leo

Mikopo yote hutolewa ofisini kwetu. Tembelea ofisi iliyo karibu nawe au tupigie simu kwa ushauri wa bure.

WhatsApp