Tunajihusisha na utoaji wa mikopo ya dharura kwa watu binafsi, mikopo ya matengenezo ya gari,mkopo wa manunuzi ya gari na huduma ya bima. Tumesajiliwa rasmi chini ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002, na tulianza shughuli zake tarehe 16 Novemba, 2016. Utambulisho wetu wa kampuni ni nambari 130743 na TIN namba 131-930-976.
Tunatoa mikopo kwa dhamana rahisi kwa kutumia:
unatoa maelezo kamili na rahisi kueleweka kuhusu huduma zetu, taratibu, na kanuni – hakuna mafumbo, hakuna mianya!.
Huduma zetu zinategemea maadili ya haki, uaminifu, na uwazi. Kila ahadi tunayotoa ni ya kweli na inatimizwa kwa uangalifu..
Wateja wetu ni kipaumbele chetu. Tunajitahidi kutoa huduma bora, jibu maswali haraka, na kusaidia katika kila hatua ya mchakato.
Hakuna kusubiri bila sababu! Tunatoa huduma haraka, zenye ubora, na zenye ufanisi wa hali ya juu.
Tunakaribisha maoni na maswali yako. Tupo hapa kukusikiliza na kuboresha huduma zetu. Jisikie huru kuwasiliana nasi.
info@imarishamaisha.co.tz au piga 0615 397 197Maoni yako ni siri na yatashughulikiwa kwa umakini mkubwa.