CRDB App
CRDB- Fungua App ya CRDB
- Weka nywila (password)
- Bofya sehemu iliyoandikwa Malipo
- Bofya sehemu iliyoandikwa Malipo Zaidi
- Kwenye utafutaji, andika Imarisha
- Ingiza namba ya malipo (control number)
- Ingiza kiasi
- Dhibitisha
Fuata hatua zilizo hapa chini kufanya malipo kwa kutumia kumbukumbu namba (control number) kupitia CRDB, NMB au M-Pesa — kwa App, Wakala au benki.
Hakikisha una kumbukumbu namba (control number) sahihi kabla ya kuanza. Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kwa (+255) 768 911 049.
Ukikwama wakati wa malipo, wasiliana na timu yetu ya huduma kwa wateja.