Kitambulisho
Kitambulisho halali (NIDA, leseni au pasipoti).
Jaza fomu hapa chini ili kuanza maombi yako. Dhamana inayokubalika ni bajaji, pikipiki au gari.
Kitambulisho halali (NIDA, leseni au pasipoti).
Bajaji, pikipiki au gari pamoja na nyaraka zake.
Maombi hukamilishwa na kuidhinishwa ofisini ndani ya dakika 15.
Tahadhari: Hatutozi gharama zozote za awali katika upatikanaji wa mkopo kabla ya mteja kufika ofisini. Tafadhali EPUKA matapeli.
Timu yetu iko tayari kukusaidia kukamilisha maombi yako ya mkopo.